Tuesday, 24 June 2014
Tuesday, 17 June 2014
Sunday, 8 June 2014
News : Rapper wa Cali swag District afariki
JayAre kutoka kundi la rap la Cali Swag District alikufa Ijumaa ... matokeo ya anemia selimundu kulingana na mmoja wa guys katika kikundi.
Jay aliugua sickle cell anemia na alilazwa hospitalini Alhamisi kwa sababu haijulikani, hii ni kulingana na MTV, Hours baadaye alikwenda katika ndani ya kukamatwa kwa moyo na kufa.
General Da Smoove -- rapper mwingine wa kundi hilo ali-tweet "Sickle cell took my brother away from me today.
Smoove anaongeza, "Pamoja na kwamba kuwa alisema mimi nina fahari kujua kwamba kwa ugonjwa kwamba alifanya bora ya maisha yake ... mimi jus (sp) aliona bro wangu literally kupigana kwa ajili ya maisha yake nilimwambia 'Ninakupenda bro' hope'n alisikia yangu. "
Download | Donlee - From Mwanza & Lyrics
Donlee - From Mwanza Lyrics
From Mwanza
DONLEE
DONLEE-From Mwanza
INTRO
hahahahahhahahahhaha.......
eyo monna,
its yo boy donlee,
we gat no time to waste around dis fake niggas,
coz,they arleady know wat its.
VERSE 1
Washa mic nipe beat niko fit nianze chana
sioni wa kunidhibiti labda labda sauti igome bhana
street wananisoma mazee
striker toka nabalehe
haterz mkiona mnaweza battle nami wekeni tarehe,
MONAGANGSTER mkali simuhitaji DR.DRE
ye mwenyewe amenikubali nnavyochange kama DRAKE
peace and love ka BOBMARLEY ilihali mi cna dread
i'm what you dreamt on yo bed
hunipati niko overgrade
young Rappers captain
sihitaji paper na pen
nahitaji mic nipeni
niwatyt kama T-pain
kitaani na-make-it-rain
its ma time ndani ya topten
still i rise ka tiptop ama stopper nnavyowatrain
natokea mwanza hey
nmekuja kusaka pay
hunitishi hata kama ukija kwa pigo za michael jay
jamaa we bado k
me ndo,Don wa pekee
hata kama ukiniweka tello kwa pisto what i can say is
CHORUS
{I'M FROM [MWANZA] }
{FROM MWANZA }X2
{I'M FROM [MWANZA] }
{FROM..................... }
{I'M FROM..........FROM........}X4
VERSE 2
Me ndo muda we nisome ntazame ka clocktower,
me ndo dawa njoo nkuponye utapona utaget power
rhymes tamu ka vanilla nanukia ka rose flowers
level za aston villa league ya mbuzi wamepagawa
nyodo ndo kama kawa
kiburi ka michael power
ukijumlisha me natoa ukizidisha ndo nagawa
demu wako amechachawa kadata kwa chekbob
anawaza kunipata ajitape ka benpol
sina swagga za kikuda
nakaza kama ludda
believe i'm a rude dudeman kama lord eyes
{DUDEMAN}
Yeaaah men hold on
me sio mpaka powder
cash is what i need nawadrible ka michaeljordan
wananicopy na kunipest i'm the best of their folders
floppy kwa diskette,cd,flash na recorders
i hope ur the best one among the fake disoderd one's
u better gets to know dat
i'm de one to arrange u in order
{REPEAT CHORUS}
BRIDGE
Hhahahhhahahahahahhahhhha.......
Monna i told u bro,
dis time we gonna lock dem madly
i'm proud of my motherland and i do it for ma hometown people
ROCKY CITY staaaaaaaaaaaaaaaandup
Nyakato,igoma,
national,gedeli,mecco,boma
nera,lumara
ilemela natta kote mpaka sahara
kitangiri na kirumba
malimbe nsumba kote dole gumba
nyegezi california
capripoint isamilo mpaka 4nia
mabatini mkolani
pansiasi bwiru mpaka mnarani
igogo mkuyuni
bugando pamba nyamanoro
SAY WHAAAAAAAAAAAAT
REPEAT FINAL CHORUS
Saturday, 7 June 2014
Friday, 6 June 2014
Thursday, 5 June 2014
T.I na Floyd Mayweather wamemaliza ugomvi wao
T.I
Inasemekana kisa cha beef hiyo ni bondia Floyd Mayweather alimwambi Rapper T.I “control your bi***** motherf*********
Floyd Mayweather
Floyd Mayweather alipofanyiwa Interview alisema T.I.‘Must’ve Forgot What I Do For A Living’
Baada ya kuona hivyo, Tip alidhani kwamba inamaanisha kwamba Floyd anajaribu kuwa karibu na mke wake.....
T.I na Floyd mayweather
Subscribe to:
Posts (Atom)