Kendrick Lamar
T.D.E Rapper kendrick lamar mwenye umri wa miaka (27) ametumia $523,500 kwa ajili ya kununua nyumba yenye vyumba vinne nje kidogo ya Los angelea,calfonia.
...
Chris brown aliachiliwa kwenye gereza la Los Angeles mapema wiki
hii..Baadhi ya wasanii walikuwepo kwenye party hiyo kuonesha
love...
mastaa wenzake walio toa support ni pamoja na T-pain,Tyga,Big sean
Breezy na T-pain
Chris brown na Tyga
...